JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Majaliwa azindua mfumo wa kielektroniki wa kuhudumia wawekezaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kuimarisha mifumo na miuondombinu ya mifumo ili kuboresha ufanisi wa utoaji huduma, utendaji kazi na kupunguza urasimu unaokwamisha utekelezaji wa…

Maadhimisho Siku ya Moyo, JKCI kufanya vipimo vya moyo Dar

Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu “Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako” wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na…

MAIPAC kusaidia kompyuta shule ya Arusha Alliance

Mwandishi wetu, Arusha Taasisi ya Wanahabari ya kusaidia Jamii za pembezoni (MAIPAC) imeahidi kutoa msaada wa kompyuta kwa shule ya msingi ya Arusha Alliance ambayo inamilikiwa na Walimu ili kuwezesha wanafunzi kusoma masomo ya TEHAMA. Mkurugenzi Mtendaji wa MAIPAC,Mussa Juma…

Miongo miwili ilivyoipaisha TMDA

Na Mwandishi Wetu Jamhuri Media, Dar es salaam Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata kwa kipindi cha miaka 20 tangu kuazishwa kwake. Tangu ianzishwa 2003 kama taasisi hadi 2023 TMDA imepiga hatua mbalimbali za mafanikio…

Chalamila ataka kasi ya usambazaji majisafi Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 22, 2023 katika muendelezo wa ziara yake Wilaya ya Kigamboni kukagua ufanisi wa uzalishaji wa maji Safi katika Mkoa huo, jukumu linalotekelezwa na Mamlaka…

DC Rufiji : TEMESA ifanyekazi kwa uaminifu na ufanisi kuondoa malalamiko

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Serikali Mkoani Pwani ,imeutaka Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA ) kufanya majukumu yake kwa uaminifu na kufuata maelekezo yanayotolewa na Serikali ili kuondoa malalamiko kwa wateja . Akimwakilisha mkuu wa Mkoa wa Pwani,…