JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Watu 604 wamepata huduma za upimaji moyo wakati wa maadhimisho Dar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Watu 604 wamepata huduma za upimaji na matibabu ya moyo wakati wa maadhimisho ya siku ya moyo duniani yaliyofanyika katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group iliyopo Temeke jijini…

Katibu Msigwa akabidhi Twiga Stars milioni 10, goli la mama

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sana na Michezo Bw. Gerson Msigwa akimkabidhi Nahodha wa timu ya Twiga Stars Joyce Lema kitita cha Sh. Milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia…

RC Chalamila ataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya majanga ya moto

RNa Mwandishi Wetu, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Octoba 1, 2023 amefika eneo la ajali ya moto Kariakoo jijini Dar es Salaam ambapo moto umetokea majira ya asubuhi na kusababisha kuteketea jengo moja pamoja na…

Asilimia 77.3 ya Vijiji Kagera vyaunganishwa na umeme wa REA

Na Lilian Lundo na Veronica Simba, JamhuriMedia, Kagera Vijiji 512 kati ya Vijiji 662 vya Mkoa wa Kagera ambayo ni sawa na asilimia 77.3 ya vijiji vya mkoa huo vimepata huduma ya umeme kupitia miradi ya Wakala wa Nishati Vijijini…