Category: MCHANGANYIKO
e-GA -Tumieni mfumo wa e – Mrejesho kuwasilisha kero zenu serikalini
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma WANANCHI wametakiwa kutumia mfumo wa kupokea maoni, malalamiko au pongezi Serikalini (e-Mrejesho), ili kuwasilisha maoni yao na Serikali iweze kuyafanyia kazi kwa wakati. Wito huo umetolewa leo na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mhandisi Benedict…
Dk Mpango ataka msukumo utolewe kwa vijiji, vitongoji visivyo na umeme
Apongeza utayari wa Wizara ya Nishati kushughulikia changamoto zinazojitokeza
Kapinga aagiza REA/ TANESCO kupeleka umeme Rugamba, Kigadye na Kiziba wilayani Buhigwe
Aahidi umeme kufika kwenye maeneo yote yenye changamoto Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Makamu wa Rais,…
Dkt Mpango: Msitumie magari ya serikali kwenda baa
MAKAMU wa Rais Dkt.Philip Mpango amewaagiza wakuu wa wilaya za mkoa Kigoma kufuata maadili ya uongozi katika kutumia magari waliyokabidhiwa kwa kuleta tija katika kusikiliza kero za wananchi na kuzifanyia kazi badala ya kutumika magari hayo kwenda baa. DK Mpango…
Waziri Kairuki : Tunataka kuona TAFORI iliyoboreshwa
Na Happiness Shayo, JamhuriMedia, Morogoro Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki (Mb) ametoa rai kwa Watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (Mb) kutimiza wajibu wao kuhakikisha Taasisi y Tunataka kuona TAFORI iliyoboreshwa inaboreka na hatimaye kuchangia katika…
Wafungwa/mahabusu zaidi ya 7,000 wanufaika na kampeni ya Mama Samia Legal Aid
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam KAMPENI ya msaada wa kisheria ya Mama Samia Legal Aid imeanza kuzunguka kwenye magereza mbalimbali nchini kuwapa msaada wa kisheria wafungwa na mahabusu na mpaka sasa imeshawahudumia zaidi ya 7,000. Hayo yamesemwa leo…
Mchezo wa soka watumika kuhamasisha vijana kujitokeza kushiriki kwenye uchaguzi
Ili kufikia malengo ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Mwezi October mwaka huu 2024,wadau wa michezo mkoani Njombe wameanza kutumia michezo ikiwemo mpira wa miguu kuhamasisha wananchi hususani vijana kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na kushiriki uchaguzi….