Category: MCHANGANYIKO
Hospitali Tumbi ina uhitaji wa damu lita 200, tukachangie kuokoa maisha ya wenye uhitaji -Gemela
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani KITENGO cha damu salama Tumbi, hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani, inatumia chupa 15 kwa siku sawa na chupa 450 za damu kwa mwezi ,hivyo uhitaji wa lita 200 ili kukidhi mahitaji. Kuelekea siku…
Serikali kupitia MSD kanda ya Dar es Salaam yasambaza vifaa tiba kwa vituo vya afya 23
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD), Kanda ya Dar es Salaam imesambaza vifaa tiba vya zaidi ya sh. milioni 930 kwa ajili ya vituo vya afya 23 vya Halmshauri ya Wilaya ya Ulanga. Akizungumza jana wilayani…
Prof Mkenda : Walimu wakuu kuweni makini na zawadi, misaada inayotolewa mashirika shuleni
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo Waziri wa Elimu ,Prof.Adolf Mkenda ametoa rai kwa walimu wakuu nchini kuwa makini na mashirika binafsi , Taasisi zisizo za Kiserikali zinazokwenda kwenye shule zao kutoa misaada ikiwemo miswaki, vidonge kwa wanafunzi ili kuondokana na…
Tanzania yaisihi Marekeni kuendeleza mchango katika kutokomeza UKIMWI
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na Mataifa ya Afrika Kusini na Msumbiji yameisihi Serikali ya Marekani kuidhinisha fedha zitakazochangia katika mwitikio wa UKIMWI kupitia Mpango wa Dharura wa Rais wa Marekani…
Maambukizi ya malaria yapungua mjini Tabora, vijijini bado
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Maambukizi ya malaria yametajwa kupungua kwa kiasi kikubwa katika maeneo ya mjini huku hali ikiwa bado mbaya vijijini mkoani Tabora. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kitengo cha kudhibiti Malaria Manispaa ya…
Kongwa kuwa kituo cha urithi wa taifa
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Kongwa mkoani hapa imesema ina mpango wa kuboresha miundombinu katika maeneo ya kihistoria wilayani hapo ili kuwa moja ya sehemu zitakazovutia watalii. Hayo yameelezwa mwishoni mwa wiki na Mkuu…