JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mtambo wa kutibu magonjwa zaidi ya 10 wazinduliwa Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar Hospitali ya ya Taifa Muhimbili leo imezindua mtambo unaotumia hewa tiba yenye mgandamizo ya oksijeni (Hyperbaric Medicine Treatment) ambao unatibu magonjwa zaidi ya 10 na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza katika Ukanda wa Afrika…

Walemavu wa viungo wanaweza kuchangia uchumi wa Taifa

Na Daniel Limbe, JamhuriMedia,Geita “Kulemaa viungo siyo kulemaa akili” Maneno haya yana akisi wazi kuwa unaweza kuwa na udhaifu wa viungo au kukosekana kwa baadhi ya viungo vya mwili wako lakini bado ukawa na akili ya kukusadia kuyafikia malengo yako…

Franone Mining wasaidia vyakula vya mil.31/- waathirika wa mafuriko Simanjiro

#Kaya 55 zakosa mahali pa kuishi Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Mwekezaji mzawa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Franone Mining inayomiliki Kitalu C Onesmo Anderson Mbise wa machimbo ya Tanzanite katika Mji Mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara ametoa…

NIDA waanza ugawaji vitambulisho Mkoa wa Dar es Salaam

Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inapenda kuwajulisha wananchi katika Wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam kuwa ugawaji wa vitambulisho kwa umma unatarajia kuanza tarehe 12/12/2023 katika wilaya zote za mkoa huo. Hivyo, wananchi wote waliosajiliwa na kupatiwa Namba…

Dk Yonazi aipongeza Muhimbili kupeleka msaada wa msaikolojia tiba,dawa na vifaa Hanang

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi ameipongeza Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kupeleka msaada wa dawa, vifaa tiba pamoja Msaikolojia Tiba kwa wananchi wa Mji mdogo wa Katesh Wilayani Hanang, Mkoani manyara…