JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Simba wembe ule ule, yailaza Ken Gold 2 -0

Timu ya Simba SC imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 2 – 0 dhidi ya Ken Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliochezwa leo Desemba 18, 2024 katika Uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge, Dar es Salaam.

Bodi ya NBAA yatakiwa kufanya maboresho ya mitaala

……… Na. Josephine Majura na Peter Haule, WF, Dar es Salaam Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) ameitaka Bodi ya Wakurugenzi ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) kupitia upya mitaala iliyopo…

Viongozi wa dini Kagera wawaonya wananchi dhidi ya ushirikiana

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Viongozi wa dini mkoani Kagera wamewaasa wananchi kutambua kuwa mafanikio ya kweli hayawezi kupatikana kupitia ushirikina au vitendo vya kikatili, kama kukata viungo vya watu wenye ulemavu wa ngozi. Katika maombi maalum yaliyofanyika Uwanja wa…

Mtume Mwamposa, NSSF na Leopard Tour wakabidhi pikipiki 60 kwa Polisi Arusha

Na Happy Lazaro, JamhuriMedia, Arusha Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and Shine (Inuka Uangaze),Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF pamoja na Mfanyabiashara na Mmiliki wa Kampuni ya Utalii ya Leopard Tour wametoa Pikipiki 60 kwa Jeshi…

Serikali yatangaza mpango wa utoaji chanjo na utambuzi wa mifugo kitaifa kuanzia Januari 2025

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Waziri wa Mifugo na Uvuvi Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amesema Serikali itaanza Mpango wa Utoaji wa Chanjo na utambuzi wa Mifugo Kitaifa kuanzia Mwezi Januari 2025 ambapo Shilingi Bilioni 28.1 zimetengwa kwa ajili ya kutekeleza mpango…

Vijana watakiwa kushiriki kikamilifu katika uhakiki wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira, na wenye ulemavu) Ridhiwan Kikwete amewata Vijana kushiriki kikamilifu katika uhakiki wa Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 kwa kutoa maoni…