Category: MCHANGANYIKO
Waziri Saada: Serikali kuendelea kuweka mazingira mazuri ya kazi kwa vikosi vya SMZ
Na Sabiha Khamis, Maelezo Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Dkt. Saada Mkuya Salum amesema Serikali itaendelea kuweka mazingira mazuri ya kufanyia kazi vikosi vya SMZ ili kuendelea kuimarisha ulinzi na usalama nchini. Akizungumza katika ufunguzi…
Maafisa aelimu watakiwa kuhakikisha miradi ya elimu inakamilika kwa wakati
Na. Asila Twaha, OR – TAMISEMI Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)Bw. Adolf Ndunguru amewataka Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri kuhakikisha wanafuatilia miradi ya elimu na kuikamilisha ifikapo tarehe Januari 15, 2024….
Serikali kuajiri walimu 1,500 na kuboresha posho Z’bar
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imejenga skuli za kisasa za ghorofa mijini na vijijini pamoja na maeneo ya visiwa vidogovidogo ikiwemo Gamba, Kojani, Tumbatu. Amesema ahadi ya CCM iliandika kujenga mabanda ya skuli, ambapo Serikali ya…
Bodi ya nyama yatoa elimu Kanda ya Kaskazini, yawaonya wanaochezea nyama
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Bodi ya Nyama nchini (TMB), imeendelea kutoa mafunzo kwa wadau wa tasnia ya nyama kama inavyoekeleza sheria ya nyama namba 10 ya Mwaka 2006 ambayo ilizinduliwa Novemba 14, 2008 ikiwa na lengo la kuweka mazingira…