Category: MCHANGANYIKO
Idadi ya wagonjwa wa kipindupindu Mwanza yaongezeka , wananchi watakiwa kuchukua tahadhari
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Wananchi mkoani Mwanza wametakiwa kuchukua tahadhari mbalimbali ikiwemo kunawa mikono kwa maji tiririka,kuacha uuzaji wa vyakula holela katika maeneo yasiyo rasmi hatua itakayosaidia kijikinga na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu. Ra hiyo ilitolewa Jana Jumanne…
Wanaume watakiwa kuacha kuwaoa wanafunzi badala yake wawaache wavae mavazi mawili
Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Christina Mndeme amewataka wanaume kuacha kuwaowa wanafunzi wa kike badala yake wawaache wasome na wavae magauni mawili ambayo ni sare za shule na joho la kuhitimu masomo . Pia wazazi…
Wagonjwa kipindupindu waongezeka Shinyanga, viongozi waweka mikakati
Na Suzy Butondo, JamhuriMedia, Shinyanga Wagonjwa wa kipindupindu wameongezeka mkoani Shinyanga kutoka wagonjwa watano na kufikia 18 baada ya wataalamu kufanya vipimo vya kuthibitisha kwa wagonjwa wa kuhara na kutapika 41 mkoani hapa. Hayo ameyasema leo Januari 9, 2024 Mkuu…
Meli za mizigo zaongezeka bandarini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imesema kutokana na maboresho na mikakati inayofanywa na Serikali kumefanikisha kuongezeka maradufu kwa meli za mizigo katika bandari mbalimbali zilizopo nchini hususan katika Bandari ya Dar…
Tani 50,000 za sukari kuingia nchini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imeruhusu kuingizwa nchini kwa tani 50,000 za sukari kwa mwezi wa Januari na Februari kama njia ya kutatua tatizo la uhaba wa sukari nchini. Waziri wa Kilimo, Hussin Bashe amesema hayo na kueleza kuwa kiwango…