Category: MCHANGANYIKO
Ziara ya Dk Biteko mkoani Mtwara yachangia mitambo iliyosimama kuanza kuzalisha umeme
đź“ŚKituo cha Afya Msimbati chaanza kujengwa đź“ŚWananchi Songosongo nao hawajasahaulika đź“ŚRC Mtwara amshukuru Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Biteko…
TANESCO yaimarisha hali ya upatikanaji umeme Tunduru, Nanyumbu na Masasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tunduru Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limejidhatiti katika kuhakikisha huduma ya umeme inaimarika kwa wilaya za Tunduru, Nanyumbu na Masasi. Amesema hayo Mkurungenzi Mtendaji wa TANESCO Gissima Nyamo-Hanga tarehe 10 Januari 2024 wakati alipotembelea Kituo kipya cha…
Mbunge Cherehani : Wananchi jitokezeni Uchaguzi Serikali za Mitaa
Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Ushetu-Kahama Wananchi wametakiwa kujitokeza kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024. Mbunge wa Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga Emmanuel Cherehani ameyasema hayo tarehe jana wakati akizungumza na wananchi wa…
Ummy: Asilimia 60 ya wananchi wanapata huduma za afya ndani ya Km 5
Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya katika Kipindi cha mwaka 2023 imejitahidi kwa kusogeza huduma kwa wananchi kwani asilimia 60 ya wananchi wanapata huduma ndani ya kilometa 5 hivyo mwaka 2023 vituo vya afya…
Mbwa anayefugwa kwa ulinzi aishambulia familia na kusababisha madhara
Usiku wa kuamkia Januari 8, 2024 majira ya saa nne usiku familia ya Nicholaus Kunju ilishambuliwa na mbwa na kuisababishia madhara kwenye sehemu mbalimbali za miili yao. Kwa mujibu wa mtoa taarifa walioshambuliwa ni mke wake pamoja na watoto. Tukio…