Category: MCHANGANYIKO
Wenye akili wapo Ikulu!
Rais Jakaya Kikwete alipoamua kuleta suala la Katiba mpya kupitia ilani yake ‘mbadala’, wapo waliomshangaa.
Nakumbuka niliandika makala iliyosema, “Nitakuwa wa mwisho kuishabikia Katiba mpya”. Hiyo haikuwa na maana kwamba sikutambua wala kuthamini matamanio ya Rais wetu kuwaachia Watanzania Katiba nzuri!
KWA HILI LA OKWI Yanga inahadaa mashabiki wake
Edgar Aggaba, mwanasheria wa Emmanuel Okwi, nyota wa soka wa kimataifa kutoka Uganda, hakufika Dar es Salaam kusimamia kesi ya mchezaji huyo wakati Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ilipojadili mkataba na usajili wake katika klabu ya Yanga.
Lovy Longomba Gwiji aliyetokea katika familia ya wanamuziki
“Mtoto wa nyoka ni nyoka.” Usemi huu wa wahenga unajionesha wazi kwa baadhi ya familia zilizojaaliwa kuwa na vipaji vikubwa.
Vipaji hivyo vinaweza kuwa vya kucheza mpira, muziki, kucheza sarakasi, riadha, ndondi n.k.
Warioba, Spika Sitta wateketeza Sh 100bil
Mchakato wa Katiba haukuandaliwa vizuri
Kama tujuavyo Bunge la Mabadiliko ya Katiba limekumbwa na vurugu na misukosuko kiasi cha kutia aibu Taifa letu.
Nashindwa kusema Bunge hilo liliendelea kujadili Rasimu ya Katiba kwa ukaidi wa nani. Maana wakati wote magenge mbalimbali ya watu waliendelea kudai Bunge hilo lisitishe shughuli zake, hasa baada ya wabunge wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia Bunge hilo.
ongezi JWTZ kwa kutimiza miaka 50 -2
Juma lililopita, nilitoa pongezi kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kutimiza miaka 50 tangu kuanzishwa Septemba Mosi, 1964. Ukweli Jeshi hili liliasisiwa baada ya Jeshi la Tanganyika (Tanganyika Rifles-TR) kuasi Januari 20,1964.
- Rais Samia ateta IGP Wambura Ikulu jijini Dar es Salaam
- Kafulila aipongeza CBE kwa ubunifu
- Rais Mwinyi aipongeza Airpay uzinduzi mifumo ya kidijitali ya ZEEA
- Uchunguzi wa kisayansi umesaidia kuunganisha wahalifu na tuhuma zinazowakabili kiurahisi
- Wanachama wa CHADEMA, ACT- Wazalendo 62 wahamia CCM Kibaha Mji
Habari mpya
- Rais Samia ateta IGP Wambura Ikulu jijini Dar es Salaam
- Kafulila aipongeza CBE kwa ubunifu
- Rais Mwinyi aipongeza Airpay uzinduzi mifumo ya kidijitali ya ZEEA
- Uchunguzi wa kisayansi umesaidia kuunganisha wahalifu na tuhuma zinazowakabili kiurahisi
- Wanachama wa CHADEMA, ACT- Wazalendo 62 wahamia CCM Kibaha Mji
- Dk Biteko aagiza Kigoma kuingizwa kwenye gridi kabla ya 2025
- Nishati safi inamuondolea adha mtoto wa kike – Kijaji
- Maendeleo ni makubwa nchini, Watanzania tumuunge mkono Rais Samia- Mathias Canal
- Mhagaa : Serikali yatenga bil. 1/- upimaji afya nyumba kwa nyumba
- Zaidi ya watu 70,000 waliojitolea kuipigania Urusi wafa Ukraine
- UN yaridhia Israel kuondoka Palestina
- Msongozi awashauri wanawake kugombea nafasi za wenyeviti Serikali ya Mtaa
- Waziri Mhagama afurahishwa na MSD inavyookoa maisha ya watoto njiti
- Rais Samia awaapisha viongozi mbalimbali
- TEF yapongeza uteuzi Bodi ya Ithibati ya Wanahabari