JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Polisi yanasa silaha ya kivita, watuhumiwa wafariki kwa kurushiana risasi na Polisi

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambao umri wao haujafahamika wamefariki wakati wakisharushiana risasi na askari Polisi waliokuwa doria wilayani Tunduru Mkoa wa Ruvuma ambapo inadaiwa walikuwa wakienda kufanya uharifu kijiji cha Msabula Kata ya…

Dk. Nchimbi arithi mikoba ya Chongolo

Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ,imemteua Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM ambaye ameshika nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM,Daniel Chongolo aliyejiuzuru nafasi hiyo Novemba mwaka jana. Kamati Kuu imemteua Emmanuel…

Watuhumiwa wa uhalifu 533 wahukumiwa jela

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi-Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kwa mwaka 2023 jumla ya watuhumiwa 533 walihukumiwa Kwenda jela kwa makosa mbalimbali ikiwemo ubakaji na ulawiti huku matukio ya uhalifu yakitajwa kupungua kwa asilimia 12. Akitoa…

Rais Samia aongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM Zanzibar

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 15 Januari, 2024 Mjini Unguja Zanzibar.

Meneja TANROAD Ruvuma afariki ghafla wakati akishiriki mbio za Km 5

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROAD) Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Mlima Ngaile amefariki dunia leo asubuhi wakati akishiriki mbio za Wiloles Foundation Marathon 2024 yenye lengo la kuchangia matibabu ya watoto waliozaliwa kabla ya muda…