JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waziri Jafo: Biashara ya Kaboni kuiingizia pato la taifa trilioni 2.4

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali inatarajia kupata wastani wa shilingi trilioni 2.4 kutokana na biashara ya kaboni ambazo zitachangia kwa kiasi kikubwa kwenye pato…

Serikali yatangaza fursa kwa wadau wa TEHAMA

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari kwa kushirikiana na Washauri elekezi wa Chuo Kikuu cha Hanyang cha Korea wamefungua rasmi maandalizi ya ujenzi wa Chuo cha TEHAMA Dodoma ambacho kitakuwa na uwezo wa kudahili wanafunzi…

Pinda awafunda watendaji sekta ya ardhi Mwanza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amewafunda watendaji wa sekta ya ardhi katika jiji la Mwanza kwa kuwataka kusimamia sekta hiyo kwa kuzingatia kanuni, taratibu na miongozi ya sekta hiyo. Amesema,…

Mbaroni kwa kuhujumu miundombinu ya reli SGR Morogoro, Dodoma

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ngerengere WATU watatu wamekamatwa na vipande 396 vya nondo za ukubwa wa milimita 16 zilizokuwa awali zimejengea uzio kuzuia kukatiza wanyama waharibifu akiwemo tembo katika Mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Standard Gauge (SGR)…