JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Rais Samia : Bei ya mahindi sasa 700, mbegu za ruzuku kuanza mwenzi ujao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya majumuisho ya ziara ya siku tatu mkoani Rukwa tarehe 17 Julai 2024 mbele ya maelfu ya wananchi wa Rukwa. “Waziri Bashe nakuagiza nendeni na bei ya shilingi 700…

Vigogo ACT Wazalendo kuzunguka majimbo 125

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo wakiongozwa na kiongozi wa chama, Dorothy Semu, Makamu Mwenyekiti Bara, Isihaka Mchinjita, Katibu Mkuu, Ado Shaibu na kiongozi mstaafu Zitto Kabwe wanatarajiwa kuanza ziara katika majimbo 125…

Anaswa na mbinu mpya ya utengenezaji dawa za kulevya kwa kutumia tiba asili

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shabani Musa Adam (54) anashikiliwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa tuhuma za kutengeneza dawa za kulevya zinazojulikana kama heroin kwa kutumia dawa tiba asili zenye asili ya…

Jukumu letu kuzingatia sheria katika kutoa na kupokea huduma – Simbachawane

 Na Mwandishi Wetu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Kibakwe, Mhe. George Simbachawene amewataka viongozi na wananchi kuzingatia Sheria za nchi katika kutoa na kupokea huduma. Simbachawene ametoa kauli…

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Mkunda apokea ujumbe wa Jeshi la China

Na Mwandishi Maalum, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ujumbe wa Makamanda walioongozana na meli ya matibabu kutoka Jeshi la Ukombozi la Watu wa China umemtembelea Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda ofisini kwake Upanga jijini Dar Es Salaam…