JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Nyalandu: Kama si leo, kesho yatatimia

 

Enzi za Balozi Khamis Kagasheki, kama Waziri wa Maliasili na Utalii, tulishuhudia tani kadhaa za pembe za ndovu zikikamatwa na wahusika wakifikishwa kwenye vyombo vya dola. Moja ya maeneo ambako matukio ya ukamataji yalifanyika ni Mikocheni, Ruvuma, Kimara, Temeke na Zanzibar.

Wanaokuzunguka wanaathiri mafanikio yako!

Nianze kwa kutoa taarifa. Katika toleo lililopita niliandika habari kuhusu Dk. Myles Munroe. Kuanzia Jumapili usiku na zaidi sana Jumatatu asubuhi ya wiki iliyopita, wengi walipata taarifa za kifo cha Dk. Munroe kwa ajali ya ndege. 

Je, wafahamu maana ya neno ‘limited’?

Utangulizi

Ni kawaida unapopita mitaani au sehemu mbalimbali mijini au vijijini  hasa kwa wingi kabisa katika miaka ya hivi karibuni, kuona maneno kama Company Limted. Sijui kama uliwahi kujiuliza  maana ya neno hili Limited (Ltd).

Yah: Tanzania nchi ya viongozi kunukuuu na siyo kutekeleza?

Barua zangu kadhaa zilizopita nimekuwa nikijadili sifa na vigezo vya kiongozi ajaye na ambaye tunadhani anafaa kushika madaraka kwa Awamu ya Tano ya utawala. Nimetoa sifa ambazo kiongozi wa namna hiyo yupo japokuwa wengine watasema hayupo, lakini yupo tu lazima tukubali.

Watanzania tunaweza kufikia sifuri 3?

Kumbukumbu  zangu zinanifahamisha ni miaka 25 sasa tangu mnong’ono wa kwanza kusikika mkoani Kagera kuwa kulikuwa na mgonjwa wa Ukimwi. Mnong’ono huo ukawa  dhahiri ilipodhihirika kuwa kuna ugonjwa wa Ukimwi nchini, mwaka 1984.

Nyalandu chanzo cha Tanzania kutukanwa

Kwa mara nyingine tumeshuhudia Tanzania ikichafuliwa tena na kudhalilishwa na Wazungu mbele ya uso wa dunia. Safari hii wamarekani kupitia asasi ya Environmental Investigation Agency (EIA) wameibua aibu kubwa ya ujangili wakihusisha vigogo wa serikali yetu na Rais wa China.