JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Waganga wafawidhi kuanza kulipwa posho za madaraka

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya imepanga kuanzia Mwaka wa Fedha 2024/25 kuwalipa waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi nchini posho za madaraka kutokana na kazi kubwa wanayofanya ya kusimamia…

ACT-Wazalendo kuanza mchakato uchaguzi ndani ya chama

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo Kimewashauri wanachama hai waliolipa ada ndani miezi 12 kijitokeza kugombea nafasi mbalimbali za Chama ngazi ya Taifa ambapo zoezi la kuchukua fomu ni kuanzia 14Februar ha 24 ,2024. Akizungumza…

Jela maisha kosa la kunajisi

Hukumu ya kifungo cha maisha gerezani imetolewa kwa Moses Method (23) mkulima na mkazi wa kijiji cha Kasuga wilayani Kakonko mkoani Kigoma baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa darasa la pili mwenye umri wa miaka tisa. Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya…

Uwekezaji mkubwa uliofanywa na Serikali Bandari ya Mtwara wavunja rekodi

●Serikali yawekeza Bil.157.8/-, Matokeo chanya yaanza kuonekana●Yajivunia kuwa na tozo nafuu kuliko bandari shindani ukanda wa Afrika Mashariki Na Stella Aron, JamhuriMedia, Mtwara BANDARI ya Mtwara ni mojawapo kati ya bandari kuu tatu za mwambao wa bahari zilizopo nchini, zinazosimamiwa…

Rais Samia azungumza na wafanyabiashara na wawekezaji jijini Oslo Norway

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akichangia jambo katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara lililowahusisha Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Tanzania na Norway Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024. Viongozi, Wawekezaji na Wafanyabiashara mbalimbali wakiwa kwenye…