JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Umaarufu, jinsia si sifa kuwa kiongozi bora

DAR ES SALAAM Na Pawa Lufunga Uongozi ni mchakato wa kusimamia, kuelekeza na kutoa njia zinazotakiwa kufuatwa ili kutafuta suluhu ya changamoto katika kufikia shabaha inayojengwa. Kiongozi ni mtu mwenye jukumu la kusimamia, kuelekeza na kutoa njia zinazotakiwa kufuatwa kufikiwa…

TFF yapongezwa, yapondwa

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita kulifanyika hafla ya utoaji wa tuzo mbalimbali kwa wanasoka na wadau wengine wa michezo waliofanya vizuri katika msimu wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/2021. Hafla hiyo ya kuvutia ilifanyika kwenye Ukumbi wa…

LES MANGELEPA Wacongo walioweka maskani Nairobi 

TABORA Na Moshy Kiyungi Baadhi ya wanamuziki wa Orchestra Baba Nationale ‘walichomoka’ baada ya kutokea kutoelewana kati yao na uongozi, wakaunda kikosi cha Les Mangelepa. Hiyo ilikuwa ni Julai 1976, wakiongozwa na Bwammy Walumona ‘La Capitale’, wakimuacha Ilunga Omer Ilunga…

Wageni, maofisa Tanga Cement mbaroni tena

DAR ES SALAAM Na Dennis Luambano Kampuni ya Tanga Cement PLC imeendelea kutoa malalamiko yake kwa Idara ya Kazi Mkoa wa Tanga baada ya wataalamu saba kutoka Afrika Kusini waliokuja kutoa mafunzo ya uendeshaji mitambo kwa wafanyakazi wao kukamatwa tena…

Mchango wa mlemavu wamng’oa mwenyekiti

MOROGORO Na Mwandishi Wetu Wakazi wa Lukwenzi, Mvomero mkoani Morogoro wamemwondoa madarakani Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Zakaria Benjamin, wakimtuhumu kupoteza fedha za umma, zikiwamo Sh 350,000 zilizotolewa na Maria Costa ambaye ni mlemavu. Benjamin amekuwa akilalamikiwa mara kwa mara kwenye…

Umoja wa Ulaya wavurugana

BRUSSELS, UBELGIJI Wanachama wa Jumuiya ya Ulaya wameanza kuvurugana baada ya baadhi yao kukataa kuutambua mkataba unaounda umoja huo kuwa una nguvu kuliko sheria zao za ndani. Poland ndiyo inayoongoza kupinga ukuu wa mkataba wa Jumuiya ya Ulaya dhidi ya…