JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Sagini atoa maelekezo kwa Jeshi la Polisi kufuatia ajali iliyoua watu 25 Arusha

Na. Abel Paul, Jeshi la Polisi- Arusha Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini amefika Jijini Arusha na kukagua eneo la ajali lilotokea Februali 24, 2024 katika barabara ya Arusha – Namanga, Eneo la Ngaramtoni kibaoni Wilayani…

Watu 25 wafariki katika ajali baada ya lori na magari madogo matatu kugonga Arusha

Na Abel Paul -Jeshi la Polisi, Arusha Watu 25 wameafariki dunia huku wengine 21 wakijeruhiwa katika ajali iliyotokea maeneo ya Ngaramtoni kibaoni by Pass ikihusisha Lori na magari mengine madogo matatu Wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha. Akitoa taarifa ya…

Jumuiya ya wazazi Shinyanga mjini yateuwa kamati za kutatua kero

Na Suzy Butondo JamhuriMedia, Shinyanga Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Shinyanga mjini imeteuwa kamati ndogo ndogo ambazo zitasaidia kufanya kazi za maendeleo na kuweza kutatua changamoto mbalimbali zilizopo katika jamii ya Shinyanga mjini. Katibu wa Umoja wa wazazi wilaya ya…

JET yawanoa waandishi wa habari namna ya kupunguza migongano baina ya binadamu na wanyamapori

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Bagamoyo Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, migongano baina ya binadamu na wanyamapori imekuwa ni tatizo kubwa na kumekuwa na ongezeko kubwa la uharibifu wa mali na kusababisha majeraha kutoka kwa wanyamnapori. Kwa kulitambua hilo,…

Mazungumzo ya Rais Samia, Papa yana tija

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Hadithi ya maendeleo ya taifa letu haiwezi kukwepa kuzungumzia ushirikiano wa taasisi za dini, hususan Kanisa Katoliki. Tangu nchi ipate Uhuru mwaka 1964, Kanisa Katoliki limefanya mambo mengi katika kuchagiza maendeleo ya wananchi.Katika…