JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Salum Abdallah aliuza nyumba kununua vyombo vya muziki

Mji wa Morogoro ni miongoni mwa miji iliyokuwa maarufu kwa michezo na burudani katika miaka ya 1950, 1960 na ya 1970.   Watu wengi walitoka Dar es Salaam na kwenda kufanya starehe za kumaliza wiki mjini humo. Hali ya hewa…

Siri ya Ugaidi

Kitendo cha nchi za Afrika Mashariki na Kati kuandaa mafunzo ya kudhibiti ugaidi, kinaelezwa kuwatia hasira kundi la al-Shaabab hadi kuvamia na kuua watu zaidi ya 150 nchini Kenya.   Jumla ya askari 300 kutoka nchi za Burundi, Rwanda, Tanzania,…

Rais Buhari kuinusuru Nigeria

Hakuna ubishi kwamba Marekani ni taifa kubwa kwa kujiimarisha kiuchumi na kiusalama. Kadhalika, hakuna ubishi kwamba rais wa Marekani ndiye anayetafsiriwa kuwa ni kiongozi wa dunia. Hii inatokana na vyombo vikubwa vya uamuzi kama vile Umoja wa Mataifa (UN) vinaisikiliza…

Walimu, wanafunzi wataja sababu matokeo mabovu

Kama ilivyoripotiwa katika toleo lililopita kwamba umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi, unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka. Uchunguzi uliofanywa…

Tumkumbuke, tumuenzi Sheikh Abeid Karume

  Leo tarehe 7 Aprili ni siku ya huzuni kwa Watanzania tunapokumbuka tukio la kikatili la kuuawa kwa mwanamapinduzi, mkombozi na mpigania haki ya Mwafrika na mpenda amani duniani, Sheikh Abeid Amani Karume.  Ni majira ya jioni, Aprili 7, 1972…

Ya kale siyo yote ni dhahabu

Leo tunatimiza miaka 33 tangu kuuawa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume. Ni mojawapo ya matukio makubwa katika historia ya Zanzibar na historia ya Tanzania kwa ujumla. Maadhimiisho kama haya yanakuwa na…