JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

‘Naelekea bungeni’

                                                Ndugu marafiki zangu wa karibu na wa mbali, baada ya kupitia taarifa ya kamati za kiutafiti…

Matabaka katika elimu yanarudi?

Katika makala yangu, iliyotoka wiki iliyopita nilianza kujadili kurudi kwa mataba ya elimu katika jiji la Dar es Salaam ambalo ni kioo cha taifa hili. Hii ilitokana na kuonekana mabasi kadhaa yaliyoandikwa “INDIAN SCHOOL BUS” na mengine “YEMEN SCHOOL BUS”….

Mbona Oktoba inachelewa?

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilituhumiwa kuendesha njama za kuifanya Serikali isitawalike. Sababu kuu iliyowapa nguvu wabaya wa Chadema kusema hivyo ni uamuzi wa chama hicho cha upinzani kukataa kutambua ushindi wa…

Yah: Sasa turejee maandiko na maagano ya wahenga

Ikifika Oktoba mwaka huu wakati wa uchaguzi wa rais wa awamu ya tano, tutakuwa tumepiga hatua nzuri na ya kujivunia kuwa na utawala bora na siyo bora utawala. Watanzania tutakuwa tumetumia demokrasia yetu ya kuchagua Serikali mpya bila kuwa na…

Namna ya kumsaidia ndugu yako kupata dhamana Polisi

DHAMANA NININI? Dhamana ni hatua ambayo mtuhumiwa wa kosa fulani huachiwa huru kwa muda, ili kusubiri hatua za kufikishwa mahakamani, au kama tayari amefikishwa mahakamani husubiri kuendelea na kesi kwa siku zijazo.  Kwa hiyo, ili lije suala la dhamana ni…

Ni vigumu kutokomeza ukeketaji

Vita dhidi ya ukeketaji kwa wasichana na kinamama Wilaya ya Tarime mkoani Mara, inaweza kuwa ngumu kwa sababu mangariba huchukulia jambo hilo kama ajira licha ya kuwa ni ya msimu tu, likifanyika kila Desemba. Taarifa kwamba wanafaidika kiuchumi imetolewa na…