JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Brig. Jenerali Mbitta aipa siri JAMHURI

Wiki mbili tangu kufariki na kuzikwa kwa Brigedia Jenerali Hashim Idd Mbitta, gazeti la JAMHURI limeibuka na makala ya mwisho aliyofanya mpiganaji huyo na aliyekuwa mwandishi wa mwandamizi wa gazeti hili, EDMUND MIHALE.  Katika mahojiano hayo yaliyofanyika Desemba 2013, Mhariri…

Yah: Naipenda Tz ya wajinga wengi

Kuna wakati huwa najiuliza, hivi ni kweli kwamba ngozi nyeusi ni alama ya laana au mkosi? Sipati jibu kwa kuwa wapo ambao wana ngozi nyeusi na hawakumbwi na laana hiyo, lakini pia huwa najiuliza, ni kweli kwamba kutawaliwa ni dalili…

Kumshitaki kwa jinai aliyevamia ardhi yako

Katika migogoro ya ardhi, yapo mambo mengi ambayo hujitokeza. Yumkini hii yote huwa ni katika kusaka haki.  Liko jambo moja ambalo ni muhimu watu kulijua hasa wale ambao tayari wamejikuta katika migogoro ya ardhi.  Mara nyingi imekuwa ikitokea pale mtu…

Yah: Sheria ya mitandao na vita ya utamaduni wa Mtanzania

Nimewahi mara kadhaa kuzungumzia juu ya utamaduni wa Mtanzania wa Tanzania, wakati huo nilikuwa sijawahi fikiria kama Serikali yetu ingeweza kuja na njia mbadala wa kutunga sheria ya kudhibiti matumizi ya mitandao ya simu na mifumo ya habari. Kwa kweli,…

Bila fedha za kutosha maisha ni mzigo

Nilivutiwa sana na mchango wa msomaji mmoja kutoka Arusha aliyeniandikia baruapepe ifuatayo, “Bw. Sanga nakupongeza sana kwa makala zako. Unaandika ujasiriamali na mambo ya kujitambua in unique style kiasi kwamba kila ninaposoma makala zako napata ladha na impact kubwa mno….

Kwanini wanaume wengi hujinyonga?

Utafiti umeonesha kuwa wanaume wenye umri kati ya 40-50 wamo katika hatari kubwa ya kujinyonga ikilinganishwa na wanawake.   Kijana mmoja kutoka England, Simon Jack, amefanya utafiti huo baada ya baba yake kujiua katika siku yake ya kuzaliwa miaka 25…