JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Ntibazonkiza aitwa Timu ya Taifa ya Burundi

Na Isri Mohamed Mchezaji wa Kimataifa anayekipiga katika klabu ya Simba SC Saido Ntibazonkiza ni miongoni mwa wachezaji 27 walioitwa kwenye timu ya taifa ya Burundi inayonolewa na kocha Etienne Ndayiragije. Kikosi hicho ni kwa ajili ya kujiandaa na michezo…

Wanawake Namtumbo wapigwa jeki milioni 287

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Namtumbo  Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake (WEF)  umetoa  mkopo zaidi ya shilingi milioni 287  tangu mwaka 2015 hadi 2024 Kwa wanawake wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma. Hayo yamesemwa na , Mkuu wa Wilaya…

Trump ataka mdahalo wa uchaguzi na Biden

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump amemtaka Rais Joe Biden kuandaa mdahalo wa wao wawili kufuatia Trump kuonekana kupata ushindi katika kura za jumla za mchujo, maarufu kama Super Tuesday, zilizofanyika wiki hii. Rais wa zamani wa Marekani Donald…

Serikali yatoa sh.mil.982 kukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua Kagera

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kagera Serikali imetoa Sh milioni 982 kwa Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) ili kukarabati barabara zilizoharibiwa na mvua za El-Nino zilizoanza kunyesha Septemba 2023 hadi sasa katika baadhi ya maeneo mkoani Kagera. Akiwasilisha…

Singida FG yatimua benchi lote la ufundi

Na Isri Mohamed, JamhuriMedia Bodi na Menejimenti ya Klabu ya Singida Fountain Gate FC imefikia uamuzi wa kuvunja benchi lote la ufundi lililokuwa likiongozwa na Kocha Mkuu Thabo Senong, kufuatia mfufulizo wa matokeo yasiyoridhisha ya klabu hiyo. Mechi tano za…

Dube aaga rasmi Azam FC

Na Isri Mohamed, JamhuriaMedia, Dar Mshambuliaji Prince Mpumelelo Dube raia wa Zimbabwe, kupitia ukurasa wake wa instagram ametangaza rasmi kuachana na klabu ya Azam FC, baada ya kudumu klabuni hapo kwa miaka minne. Hivi karibuni Azam FC walitoa taarifa ya…