JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

RC Mtanda awapongeza askari wanawake Kanda Maalum

Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Mkuu wa Mkoa wa Mara Said Mtanda amewapongeza askari wanawake toka Kanda maalumu Tarime/Rorya kwa kuheshimisha Siku ya Wanawake. Akizungumza katika maadhimisho ambayo kimkoa yamefanyikia katika Kata ya Nyamswa wilayani Bunda amesema hawajawahi kushindwa kusherehesha….

Wanawake Kideleko wapanda miti bwawa la Kwamaizi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Handeni Ikiwa leo ni maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani, wanawake wa Kata ya Kideleko katika Halmashauri ya Mji wa Handeni wametumia nafasi hiyo kupanda miti na kufanya usafi katika bwawa la maji la Kwamaizi katika…

ACT – Wazalendo chatangaza kujitoa kwenye Umoja wa Kitaifa

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kujitoa kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa kutokana na kutotekelezewa hoja zao tatu ikiwemo fidia kwa waliopata madhara katika uchaguzi 2020, kuundwa Tume ya Kijaji kuchunguza uvunjifu wa…

TRA yatoa tuzo kwa mwanamke kinara kulipa kodi nchi nzima

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kusherehekea siku ya Wanawake Duniani Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa tuzo ya mwanamke Mlipakodi namba moja Tanzania kwa mwaka 2023. Mwanamke huyo ni Zainab Addan Ansell ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa…

UWT yahamasisha wanawake kujisajili na umoja huo kidigitali

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kusherehekea Siku ya Wanawake dunia ambayo hufanyika Machi 8, kila mwaka, Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) umekuja na kampeni maalum ya kuhamasisha wanawake na wasichana kujisajili na umoja huo kielekloniki (Kidigitali). Akiitambulisha…