JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Wanaotorosha korosho kwenda nje ya nchi waonywa siku zao zinahesabika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, BODI ya Korosho Tanzania mkoani Tanga imewaonya wakulima wenye tabia za kutorosha Korosho kwenda kuuza nje ya nchi kuacha mara moja kufanya hivyo kwani siku zao zinahesabika kutokana na vyombo vya dola vinawatambua na watapokamatwa watashughulikiwa…

Spika, Ridhiwani wawajulia hali majeruhi, watoa mkono wa pole kwa mashabiki Simba

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia. Pwani Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambae pia ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini ,Dkt.Tulia Ackson ameambatana na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete kuwapa pole mashabiki wa Simba waliopata…

Waliofanya uhalifu wa kupora pikipiki wakamatwa Arusha

Na Abel Paul, Jeshi la Polisi, Arusha Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikiria mtuhumiwa aliyeonekana katika video ambayo ilisamba katika mitaandao ya Kijamii na kupora vitu kwa mwananchi mmoja huko maneo ya Burka kisongo Jijini Arusha. Akitoa taarifa…

Utafiti: Watanzania waunga mkono mikakati ya kupunguza uzalishaji wa Methane

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Watanzania wameonekana kuunga mkono kwa kiasi kikubwa mipango inayolenga kupunguza uzalishaji wa gesi ya methane na kushughulikia mabadiliko ya hali ya hewa. Hii ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Global Methane Hub, shirika la kibinadamu…

DAWASA waanza utekelezaji agizo la Rais Samia kwa kurejesha huduma bila faini

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa agizo la Waziri wa Maji, Jumaa Aweso la kuwarudishia huduma ya maji wateja waliositishiwa huduma kwa msamaha wa kutolipa…