JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Zaidi ya bilioni 23 kutumika kusambaza umeme Kilimanjaro vijijini

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 23.7 ili kuhakikisha miradi yote ya kusambaza umeme vijijini Mkoani Kilimanjaro inakamilika na kuwapatia wananchi maendeleo ya kiuchumi na kijamii Mkurugenzi wa Umeme…

Utekelezaji mradi ujenzi wa miundombinu ya barabara Njombe wafikia asilimia 88.3 – Injinia Ruth

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Njombe Bajeti ya Matengenezo na Maendeleo ya Barabara katika mkoa wa Njombe kwa Mwaka wa Fedha 2023-24, ni Shilingi Bilioni 11.583, ambapo katika fedha hizo Miradi ya Maendeleo ni Shilingi Bilioni 7.979, Miradi katika Ushoroba wa…

Mhasibu wa Halmashauri Mbarali atiwa hatiani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbarali Mahakama ya Wilaya Mbarali imemhukumu aliyekuwa Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali Bw. Joseph Werema Ndimila adhabu ya kulipa faini ya 1,100,000 au kwenda jela mwaka mmoja na ameamriwa kurejesha kiasi cha sh. 4,000,000…

URUS Tanzania kupeleka teknolojia ya uhimilishaji mifugo kutoka Marekani, Brazil maonesho ya Nanenane

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ikiwa ni sehemu ya kusaidia jitihada za kukuza sekta ya mifugo hapa nchini, Kampuni ya URUS itashiriki maonesho ya Nane nane mwaka huu katika mikoa sita ya Morogoro, Dodoma,Mbeya,Arusha, Simiyu na Kagera ikilenga…

TRC, Korea kushirikiana SGR

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Soga Shirika la Reli la Tanzania (TRC) limeingia makubaliano ya kibiashara na Shirika la Reli la Korea Kusini (Korail) yatakayoimarisha ushirikiano katika kuendeleza miundombinu ya reli barani Afrika. Makubaliano kati ya mashirika haya mawili yanaingia katika…