Category: MCHANGANYIKO
Mradi wa TAZA kuunganisha umeme Afrika
MRADI WA TAZA KUUNGANISHA UMEME AFRIKA 📌 Aitaka TANESCO Kusimamia Mradi kikamilifu 📌 Ataka Wakandarasi wazembe Wachukuliwe Hatua 📌 TAZA kuiwezesha Rukwa kupata umeme wa gridi Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Serikali imesema kuwa mradi…
Mawaziri wa Israel waidhinisha ulipizaji kisasi wa Netanyahu dhidi ya Hezbollah
Baraza la mawaziri la usalama la Israel limemuidhinisha hatua ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu na waziri wake wa ulinzi ya kuamua ni lini na jinsi ya kulipiza kisasi cha shambulio baya la roketi dhidni ya Israel na Marekani inasema lilitekelezwa…
Sekta binafsi zishirikishwe kikamilifu suala la uhifadhi wa mazingira
Na Stella Aron, JamhuriMedia, Bagamoyo IMEELEZWA kuwa ili kupata matokeo chanya katika utunzaji mazingira na uhifadhi kuna umuhimu mkubwa wa kushirikisha sekta binafsi ambazo zimeonyesha juhudi kubwa la kuleta mabadiliko katika sekta Hayo yalibainishwa wakati wa semina iliyoshirikisha wahariri iliyoandaliwa…