Category: MCHANGANYIKO
Tunapata wapi fedha za kuwekeza? (-2)
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita katika ukurasa huu, tulizungumzia namna ambavyo fedha za kuwekeza zinavyoweza kupatikana kwa jamii kuchangishana kwa lengo maalumu, na tukatazama faida zilizopo katika uwekezaji wa pamoja. Tuendelee na sifa za Meneja wa Uwekezaji…
Bunge ndilo husimamia mihimili yote
MOROGORO Na Everest Mnyele Japo haisemwi, kimsingi ukweli ni kwamba Bunge ndilo husimamia mihimili mingine yote; yaani Utawala na Mahakama. Ukuu wa Bunge; Bunge lisilo na woga, hupatikana pale tu panapokuwapo Katiba thabiti ya wananchi. Kwanza, ni lazima tutambue katiba…
‘Royal Tour’ kukuza utalii, uwekezaji kimataifa
DAR ES SALAAM Na Mwalimu Samson Sombi Desemba 9, mwaka jana Tanzania iliadhimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika ikijivunia mafanikio lukuki baada ya kutawaliwa na wakoloni kwa takriban miaka 75. Baada ya kupata uhuru mwaka 1961, Tanganyika, kwa sasa…
Wastaafu TRL wamlilia Rais Samia
DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waliokuwa wafanyakazi wa Kampuni ya Reli Tanzania (TRL) wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kuwasaidia ili uongozi uwape haki zao. Akizungumza kwa niaba ya wenzake zaidi ya 1,000, mmoja wa wastaafu hao,…
CAG akagua fedha za wahujumu uchumi
*Ni za wale waliokiri makosa, wakalipa faini kwa DPP, sasa yadaiwa fedha hazikwenda serikalini *Ofisa mmoja adaiwa kuchukua kodi ya nyumba iliyotolewa serikalini kwa ‘plea bargaining’ *Wadau waomba fedha za kikosi kazi nazo zikaguliwe DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu …
Marekani yatumia Bunge kumwengua Waziri Mkuu Pakistan
Na Nizar K Visram Imran Khan, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Pakistan, ameondolewa madarakani baada ya Bunge la nchi hiyo kupiga kura ya kutokuwa na imani naye. Kura hiyo ilipigwa Aprili 9, mwaka huu baada ya mvutano mkali baina ya Chama…