JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tumkumbuke, tumuenzi Sheikh Abeid Karume

  Leo tarehe 7 Aprili ni siku ya huzuni kwa Watanzania tunapokumbuka tukio la kikatili la kuuawa kwa mwanamapinduzi, mkombozi na mpigania haki ya Mwafrika na mpenda amani duniani, Sheikh Abeid Amani Karume.  Ni majira ya jioni, Aprili 7, 1972…

Ya kale siyo yote ni dhahabu

Leo tunatimiza miaka 33 tangu kuuawa kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Sheikh Abeid Amani Karume. Ni mojawapo ya matukio makubwa katika historia ya Zanzibar na historia ya Tanzania kwa ujumla. Maadhimiisho kama haya yanakuwa na…

Wajua mgawanyo wa mali ndoa ya mke zaidi ya mmoja inapovunjika?

Kipindi fulani huko nyuma wakati nikieleza masuala ya sheria za ndoa, nilipata kuzungumzia utaratibu wa mgawanyo wa mali iwapo ndoa inavunjika. Kimsingi nilieleza mgawanyo wa mali katika msingi wa uwepo wa ndoa ya mke mmoja. Sikuwahi kueleza mgawanyo wa mali…

Barua ya kijasiliamali kwa wanawake

Ndugu akina mama na akina dada, nawasalimu kwa salamu za fedha ziletwazo na uchumi na ujasiriamali. Naamini barua hii itawafikia salama mkiwa mmesherehekea Pasaka kwa amani na mkiwa mmeanza robo ya pili ya mwaka kwa mafanikio.  Si mara yangu ya…

Mtego mkali ulitumika kuinasa Sosolis

  Bendi ya Trio Madjes 'Sosoliso' ilikuwa imesheheni vijana na kuweza kulitikisa jiji la Kinshasa huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika muziki. Chanzo cha kuanzishwa kwa bendi hiyo kunaelezwa kuwa kulitokana na kuporomoka kwa Bendi ya Orchestra Veve baada…

Sababu za kufeli hizi hapa

  Umbali mrefu kati ya shule za sekondari za kata na makazi ya wanafunzi unachangia kwa kiasi kikubwa ‘anguko’ la wanafunzi katika matokeo ya mwisho ya wahitimu wa kidato cha nne kila mwaka.  Uchunguzi uliofanywa na gazeti hili kwa muda…