Category: MCHANGANYIKO
DCEA: Kilimo cha bhangi na mirungi kinaondoa uoto wa asili
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema kuwa moja ya madhara ya Kilimo cha bhangi na mirungi ni kuondoa uoto wa asili. Hayo yamebainishwa na Afisa Elimu kutoka DCEA, Said Madadi…
CPA Kasore: Itumieni VETA kupata ujuzi na kujiajiri
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), CPA Anthony Kasore ametoa wito kwa vijana na Watanzania kwa ujumla kutumia vyuo vyao ili kuweza kujiajiri. Aidha amesema kuwa wamejipanga kuhakikisha wakulima…
BRELA yawaita wakulima kusajili nembo, alama za biashara
NaTatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umetoa wito kwa wakulima kutembelea banda lao lililopo katika maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) ili kuweza kusajili nembo na alama za biashara. Hayo yamebainishwa na Ofisa Usajili…
Tarura yajipanga kuhakikisha wakulima wanayafikia masoko kwa kirahisi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema unaendelea na ujenzi wa barabara na madaraja katika maeneo mbalimbali nchini ili kuhakikisha wakulima wanayafikia masoko kwa haraka. Hayo yamebainishwa kwenye Maonesho ya Wakulima na Wafugaji…
Wanyamapori wanamchango mkubwa katika sekta ya utalii
Na Beatus Maganja,JamuhuriMedia, Dodoma Afisa Mhifadhi kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Winniefrida Kweka amesema Wanyamapori waliopo nchini wana mchango mkubwa katika Sekta ya Utali kwakuwa huchangia zaidi asilimia 17 katika pato la Taifa. Winniefrida ametoa kauli…
Wananchi waendelea kupata msaada wa kisheria kupitia kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia, kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya wizara ya wizara na sheria. Katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika maonesho ya nanenene jijini Dodoma…