Category: MCHANGANYIKO
Mwenyekiti jela kwa kupokea hongo ya 60,000, ashindwa kulipa faini ya milioni 1
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kiteto MAHAKAMA ya Wilaya Kiteto, imemhukumu Mambe Mohamed Mambe , Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda jela miaka minne au kulipa faini…
Serikali yaja na mfumo kusaidia wahamaji walio katika mazingira hatarishi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa kushirikiana na Taasisi nyingine za Serikali pamoja na wadau inaandaa mfumo wa rufaa kwa wahamaji walio katika mazingira hatarishi nchini utakaosaidia kutoa…
Mabaraza ya Ardhi na nyumba yatende haki, kwani hakuna aliye juu ya sheria -RC Kunenge
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani ,Abubakar Kunenge ametoa rai kwa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba kufanyakazi kwa kuhakikisha yanatenda haki kwa wananchi kwani hakuna aliye juu ya sheria. Aidha ameeleza kuwepo kwa mabaraza hayo ni…
Mavunde aanza kutimiza ahadi yake ya ujenzi wa viwanja vya michezo Dodoma
MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ameanza ujenzi wa viwanja vya michezo ya mpira wa kikapu (basketball), mpira wa pete (netball) na mpira wa wavu (volleyball) katika eneo la shule ya Sekondari Kiwanja cha Ndege Jijini Dodoma. Ujenzi…
Tanzania yapokea ugeni kutoka China waonesha nia ya kuwekeza
Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Tanzania imepokea ugeni wa jopo la wataalamu likiwa limeambatana na wawekezaji na viongozi wa Serikali kutoka Jimbo la Changzhou Nchi China ambao wameonesha nia ya kuwekeza kwa kujenga viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo power…