Category: MCHANGANYIKO
Makamba: Hatusambazi umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa tu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Nishati,January Makamba amesema kuwa, Serikali haisambazi umeme vijijini kwa ajili ya kuwasha taa peke yake bali kuchagiza pia shughuli za kiuchumi ikiwemo uanzishaji wa viwanda. Amesema hayo baada ya kutembelea kiwanda kinachochakata parachichi ili…
Balozi Umoja wa Ulaya amtembelea Jaji Mkuu
Na Mary Gwera,JamhuriMedia BALOZI wa Umoja wa Nchi za Ulaya (EU) Tanzania, Manfredo Fanti amemtembelea Jaji Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma kwa lengo la kujifunza mambo mbalimbali ya utoaji haki nchini. Akizungumza na Jaji Mkuu ofisini kwake katika…
‘Kosa atakalofanya mwandishi wa habari liwe la kwake’
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia IMEELEZWA kuwa kosa la mwanahabari limekuwa likichukuliwa kama kosa la taasisi ya habari na kusababisha madhara makubwa ya kufungwa kituo ama gazeti tofauti na ilivyo kwenye tasnia nyingine nchini. Hayo yamesemwa na Deodatus Balile, Mwenyekiti wa Jukwaa…
Baba ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumrubuni binti yake
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Tabora MAHAKAMA ya hakimu mkazi Wilaya ya Nzega mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka 30 jera Masanja Shija, mkulima na mkazi wa kijiji cha Shila kata ya Isanzu Mkoa wa Tabora baada ya kupatikana na kosa la…
Homa ya mgunda isiwe kikwazo cha kutokula nyama
Na Edward Kondela,JamhuriMedia,Dodoma SERIKALI imesema ugonjwa wa Homa ya Mgunda usiwe kikwazo cha Watanzania kutokula nyama na kwamba asilimia tisini ya nyama inayopitia kwenye machinjio rasmi iko salama. Akizungumza jijini Dodoma kupitia vyombo mbalimbali vya habari, Mkurugenzi wa Huduma za…
Mbaroni kwa tuhuma za kutaka kuwauza wanaye albino Msumbiji
Baba ambaye anadaiwa kutaka kuwauza watoto wake watatu albino alikamatwa nchini Msumbiji wakati wakijadiliana kuhusu bei, Polisi wamesema. Mwanamume huyo (39) na kaka yake (34), walikamatwa katika Jimbo la Tete Magharibi.Wamekanusha shtaka hilo, kwa mujibu wa Polisi. Watu wenye ualbino…