JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

EWURA CCC yatumia maonesho ya wakulima kuelimisha matumizi sahihi ya gesi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Maonesho ya Wakulima(Nanenane)yakiwa yanaendelea Jijini hapa, Baraza la Ushauri la watumiaji wa huduma za Nishati na Maji (EWURA CCC) limeendelea kutimiza wajibu wake kwa kuwaelimisha wananchi namna ya matumizi sahihi ya gesi. Hatua hii itawasaidia…

Mbaroni kwa tuhuma za kusambaza uongo kifo cha binti aliyedhalilishwa

Na Magrethy Katengu,JamuhuriMediaDar es Salaam Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemkamata na linamuhoji kwa kina Amos Lutakulemberwa Lwiza ( 54) mkazi wa Kinondoni Tegeta Wazo kwa tuhuma za kusambaza taarifa za uongo na uzushi za kifo…

Simba, Yanga kuumana kesho kwa Mkapa

Na Isri Mohamed Klabu za watani wa jadi, Simba na Yanga zinatarajia kuumana kesho katika dimba la Mkapa jijini kwenye mchezo wa nusu fainali ya ngao ya jamii. Makocha wa timu zote mbili wamezungumza na wanahabari na kuelezea walivyojipanga kuoneshana…

Mtoto aliyechinjwa na ‘housegirl’ aruhusiwa kutoka hospitali

Na Isri Mohamed Mtoto Malick Hashim (6) aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya Taifa Muhimbili tangu julai 15, baada ya kuchinjwa na kitu chenye ncha kali shingoni na anayedaiwa kuwa ni dada wa kazi, ameruhusiwa kutoka hospitalini hap oleo Agosti 07,…

Bilioni tano kujenga Hospitali ya Rufaa Moro

Na WAF – Morogoro Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameagiza kujengwa kwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro kwa kuanza ujenzi wa jengo la Afya ya uzazi mama na mtoto ili kurahisha…

Kamanda TAKUKURU Ruvuma aipa tano TARURA

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea KAMANDA wa Takukuru Mkoa wa Ruvuma Hamza Mwenda amepongeza wakala wa bara bara Mjini na Vijijini (TARURA) mkoani humo kwa kufanikiwa kutekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi wa miundombinu ya barabara katika kipindi cha mwaka fedha…