Category: MCHANGANYIKO
Serikali yataka wanafunzi wasio na michango kuendelea na masomo
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia imewaelekeza walimu wa shule za msingi nchini kutowarudisha nyumbani wanafunzi ambao wazazi wao wameshindwa kuwalipia michango mbalimbali na badala yake waachwe kuendelea na masomo. Hayo yameelezwa leo Aprili 5,2024 Jijini…
LHRC yaainisha mambo yaliyochwa kwenye sheria ya uchaguzi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimebaini kuwepo kwa mambo saba waliyoyapendekeza yaondolewe kwenye Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, Sheria ya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi 2024…
GEF kupitia UNDP yatoa zaidi ya bilioni 4 .04/- kwa CSOs 44 nchini kutekeleza miradi ngazi ya jamii
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfuko wa Mazingira Duniani(GEF) kupitia Programu ya Ruzuku Ndogo inayotekelezwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) limesaini makubaliano ya kutoa sh 4.04 bilioni kwa mashirika yasiyo ya kiserikali 44 nchini ili…
Sarafu yakwama siku sita kooni kwa mtoto
Mtoto wa miaka miwili ametolewa sarafu iliyokuwa imekwama kooni kwa muda wa siku sita katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) jijini Dodoma. Akizungumza leo Aprili 3, 2024 Daktari Bingwa wa Masikio, Pua na Koo (ENT) wa BMH, Emmerenceana Mahulu, amesema…
NSSF yawatembelea wazee Kata ya Tumbi
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wafanyakazi wanawake (staff) kutoka NSSF Mkoa wa Pwani wamewatembelea na kuwaona wazee wa kata ya Tumbi na kuwatakia heri ya mfungo wa Ramadhan. Pamoja na mambo mbalimbali wazee waliomba wawe wanakumbukwa mara kwa mara kwa…