Category: MCHANGANYIKO
SAGCOT yaishukuru USAID kwa kuendelea kutoa ufadhili katika miradi mbalimbali
Na Tatu Mohamed JamhuriMedia, Dodoma MKURUGENZI Mtendaji wa Mpango wa Kuendeleza Kilimo Ukanda wa Kusini mwa Tanzania (SAGCOT), Geoffrey Kirenga ameishukuru Serikali ya Marekani kupitia Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kw kuendelea kutoa ufadhili katika miradi mbalimbali…
Shirika la Islands of Peace Tanzania lawafikia zaidi ya Wakulima 3500
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma SHIRIKA lisilo la kiserikali la Islands of Peace Tanzania limesema kuwa mpaka sasa limeweza kuwafikia wakulima zaidi ya 3500 katika kuhamasisha na kughuhisha mifumo endelevu ya chakula kwa kutumia kilimo Ikolojia. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi…
TFNC yaitaka jamii kuacha dhana potofu kuhusu Virutubishi
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam AFISA Utafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Francis Millinga ametoa wito kwa jamii kuacha dhana potofu kwamba Virutubishi vina madhara. Ameyasema hayo kwenye maonesho ya Wakulima na Wafugaji (Nanenane) ambayo…
TMA: Wananchi fatilieni taarifa za hali ya hewa
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dodoma KAIMU Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Ladislaus Chang’a ametoa wito kwa Watanzania kuendelea kufatilia taarifa za hali ya hewa ili kuongeza tija katika shughuli zao. Aidha amesema kuwa Mamlaka…
Mkurugenzi Mkuu REA ahamasisha wananchi kutumia nishati safi ya kupikia
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Saidy amewaasa wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kuokoa gharama na muda, kulinda mazingira na afya zao hasa ikizingatiwa kuwa teknolojia sasa imeboreshwa na gharama yake ni ndogo ikilinganishwa…