JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Tuzo ya Chem Chem yawasili nchini, Serikali yapongeza

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Babati Hatimaye tuzo ya Uhifadhi unaoshirikisha jamii ,iliyoshinda mwezi uliopita Taasisi ya Uhifadhi na Utalii ya Chem Chem Safaris, iliyopo eneo la hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori ya Burunge(Buruge WMA), wilaya Babati Mkoa wa Manyara,imewasili nchini…

Balozi Kombo, Chumi wateta na Makamu wa Kwanza w Rais Zanzibar

Na Andrew Chale, JamhuriMedia, Zanzibar WAZIRI wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo na Naibu wake katika Wizara hiyo, Cosato Chumi wamejitambulisha rasmi na kufanya mazungumzo Ofisini kwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa…

Idara ya uhamiaji Arusha yakamata raia saba wa Ethiopia kwa kuingia nchini kinyemela

Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Arusha 08/08/2024 majira ya saa mbili usiku katika maeneo ya Kisongo imekamata raia (04) wa Ethiopia kwenye gari aina ya Toyota Land Cruser Station Wagon GX yenye namba za usajili T 801 AGJ, baada ya…

Kamati ya Bunge ya Bajeti yaahidi kuupa msukumo mradi wa EACOP

📌 Yampongeza Rais Samia kutekeleza miradi inayoleta mageuzi ya kiuchumi 📌 Dkt. Mataragio asema mradi umefikia asilimia 39.2 📌 Tanzania kufaidika na shilingi trilioni 2.3 kipindi cha ujenzi na uendeshaji 📌 EACOP yawezesha manunuzi ya USD milioni 462 Na Mwandishi…

JKT kinara wa jumla maonesho ya Nanenane

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia,Dodoma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limeshinda tuzo ya jumla kwenye maonesho ya wakulima(Nanenane)yaliyofanyika kitaifa Dodoma kutokana na ufanisi wake katika kilimo na uthibitisho wa juhudi zake katika kuboresha uzalishaji wa mazao na kuleta maendeleo ya kilimo…

Serikali kuongeza fursa za kidigitali kwa vijana kuleta maendeleo kiuchumi

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani ifikapo Agosti 12,Serikali imesema itaendelea kuzingatia matumizi ya fursa za kidijitali kwa vijana ili kuwapa fursa ya maendeleo endelevu kwa kuwapatia ujuzi wa kidijitali ili kuleta maendeleo ya kiuchumi na…