JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Miaka 60 ya Muungano, Wizara ya Mambo ya ndani yajivunia kubadilisha mfumo wa ujenzi nyumba za askari

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Ndani ya kipindi cha miaka 60 ya Muungano ,Serikali imefanya uboreshaji mkubwa wa Ofisi na Makazi ya askari wa Vyombo vya Usalama vya Muungano na kubadilisha mfumo wa ujenzi wa nyumba za askari wa vyeo mbalimbali…

Tuliopewa dhamana kusimamia sekta ya ardhi tuwatendee haki wananchi – Waziri Slaa

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendelea ya Makazi, Jerry Slaa amewataka watumishi wa ardhi nchini, kuwa waadilifu na hofu ya Mungu kwa kutenda haki wakati wanaposuluhisha migogoro ya ardhi. Slaa ameyasema hayo mapema leo Aprili 15, 2024, wakati akifungua kliniki…

TAWA yaweka kambi Rufiji kutoa elimu namna ya kuepukana na madhara ya mamba na viboko

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rufiji Timu ya maofisa uelimishaji kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeweka kambi maalumu wilayani Rufiji yenye lengo la kutoa elimu ya namna ya kuepuka madhara yatokanayo na mamba na viboko kwa wananchi walioathiriwa…

Chalamila : Waliolipwa fidia bonde la Msimbazi wasiende kujenga mabondeni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam -Asema Serikali tayari imeshatoa zaidi ya bilioni 50 kwa ajili ya fidia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari…

Majizo azindua kampeni za kuinua na kusaidia vijana kupata fursa za ajira

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji wa Efm na TV E, Fransis Siza (Majizo) amezindua , kampeni mbili za kuinua na kusaidia vijana nchini ili kupata fursa za ajira na kuibua vipaji vyao. Ameyasema hayo,wakati alipokuwa akizindua…

Rais Samia kufanya ziara Uturuki

Na Jumanne Magazi, JamhuriMedia, Dar es Salaam Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara nchini Uturuki kwa lengo la kukuza uhusiano wa kidiplomasia ya siasa, uchumi, na biashara kati ya nchi hizo. Akizungumza leo Aprili, 15 jijini Dar es Salaam…