Category: MCHANGANYIKO
DCEA yaadhimisha Siku ya Vijana kwa kutoa elimu Arusha
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini kwa kushirikiana na Asasi ya Youth Hub Arusha tarehe 12.08.2024 imeadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kutoa elimu kinga kwa vijana 63 katika Ukumbi wa MS Training…
Serikali kufanya tathamini maeneo mbalimbali nchini kubaini athari za mafuriko
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema Serikali inatarajia kufanya tathmini katika maeneo mbalimbali nchini kubaini athari za mafuriko zinazotokana na mabadiliko ya tabianchi. Amesema hayo wakati akitoa ufafanuzi wa hoja…
RC Mara atoa wiki sita kwa mkurugenzi Serengeti
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanal Evans Alfred Mtambi ametoa wiki Sita kwa mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kukamilisha Bweni la wanafunzi wakidato cha tano katika shule ya sekondari Ngoreme lilojengwa kwa nguvu za Wananchi na wanafunzi waliosoma…
Madiwani Tabora walaani mwalimu kulawiti mwanafunzi
Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa Tabora limesikitishwa sana na kitendo cha Mwalimu kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka 7 na kutaka hatua kali za kisheria zichukuliwe dhidi yake ili kukomesa tabia hiyo….
Polisi waachia baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA
Polisi imethibitisha kuwa baadhi ya walioshikiliwa walihojiwa na kurejeshwa katika mikoa yao walikotoka. Akizungumza usiku wa kuamkia leo jijini mbeya, Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Polisi, Awadhi Juma alisema baadhi ya viongozi hao ambao walishindwa kukidhi masharti ya dhamana…
Idadi ya watalii yaongezeka Pugu- Kazimzumbwi wafikia 21,248- Mtewa
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kisarawe IDADI ya watalii wanaotembelea Msitu wa Hifadhi ya Pugu-Kazimzumbwi, wilayani Kisarawe ,mkoani Pwani imeongezeka na kufikia watalii 21,248 kwa mwaka 2023/2024. Aidha, mapato yaliyopatikana kutokana na watalii hao ni kiasi cha sh.milioni 222. Akizungumzia ongezeko…