Category: MCHANGANYIKO
Waziri Mkuu awataka wakandarasi miradi ya umwagiliaji kuzingatia ubora
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya maji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa ameyasema hayo jana katika hafla ya utiaji saini mikataba…
Wafanyakazi Nishati katika kilele cha Mei Mosi Dodoma
Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati wameshiriki maandamano ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani tarehe 01 Mei, 2024. Maandamano hayo yalianzia katika viwanja vya Bunge na kuhitimishwa katika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Maadhimisho hayo maarufu kama Mei Mosi kwa…
Uturuki ni fursa miaka 60 ya Uhuru Tanzania
Na Deodatus Balile, JamhuriMedia Aprili 17 hadi 21, 2024 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, alifanya ziara rasmi ya kiserikali nchini Uturuki. Wiki iliyopita niliandika kuhusu ukubwa wa uchumi wa nchi ya Uturuki, mapinduzi makubwa…
Mndolwa : Miradi mingi ya umwagiliaji inatekelezwa kwa kipindi cha miezi 18
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi Mkuu Tume ya Taifa ya Umwagiliaji Raymond Mndolwa amesema miradi mingi ya umwagiliaji inatekelezwa kwa kipindi cha miezi 18, hivyo kukamilika kwa ujenzi na ukarabati wa skimu zinazoendelea kujengwa katika kipindi cha mwaka 2022/2023…
Bohari ya dawa nchini Tanzania yavutia Sierra Leone kujifunza namna ya utoaji huduma bora
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia Dar es Salaam Bohari ya Dawa Nchini Tanzania (MSD) imepokea ujumbe kutoka Bohari ya Dawa ya Sierra leone uliokuja kujifunza namna ya kuboresha mifumo ya utoaji wa huduma ya dawa nchini kwao . Akizungumza Aprili 29 ,2024…
Somalia kushirikiana kwa karibu na MSD
Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud amesema nchi yake imeamua kushirikiana kwa karibu na Bohari ya Dawa ya Tanzania katika ununuzi wa bidhaa za afya na kubadilishana uzoefu wa namna mnyororo wa ugavi wa bidhaa za afya unavyofanya kazi. Rais…