Category: MCHANGANYIKO
TANESCO yasitisha matengenezo ya LUKU
MATENGENEZO kwenye kanzidata ya mfumo wa Luku yaliyokuwa yaanze Agosti 22 hadi 25, kuanzia saa 4 usiku hadi saa 1 asubuhi yamesitishwa. Hatua hiyo imekuja baada ya muda mchache Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutangaza matengenezo kwenye kanzidata ya mfumo…
Rais Samia atuma salamu za rambirambi vifo vya watu 19 Mbeya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera kufuatia vifo vya watu 19 vilivyotokea katika ajali ya gari. Ajali hiyo imetokea jana saa mbili asubuhi katika eneo…
Afisa uchaguzi Kenya aliyetoweka apatikana akiwa amefariki
ALIYEKUWA msimamizi wa uchaguzi katika kituo cha kupigia kura katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, amepatikana akiwa amefariki siku chache baada ya familia yake kuripoti kuwa ametoweka, vyombo vya habari vya Kenya vinaripoti. Mwili wa Daniel Mbolu Musyoka umepatikana katika…
Wakenya watarajie kumpata rais wao leo
Matokeo ya uchaguzi Mkuu kenya huenda yakatolewa leo kama zoezi la kuhesabu kura litakamilika kutoka kwa kaunti zote. Kati ya wagombea wanne wa kiti cha urais nchini humo ni wagombea wawili wanaonyesha ushindani mkali kwa kukabana kwa idadi ya kura…
Majaliwa atoa rai viongozi wa dini kuombea amani
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema viongozi wa dini hawana budi kuendelea kuiombea amani Tanzania pamoja na viongozi wake kwani bila amani hata kusanyiko la kidini haliwezi kufanyika. Akinukuu Quran tukufu sura ya 2, aya ya 126 (Quran 2:126), Waziri Mkuu…