Category: MCHANGANYIKO
Naibu IGP Balozi Dkt.Abdulrahamani Kaniki asisitiza uadilifu
Aliyekuwa Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Balozi Dkt Abdulrahamani Kaniki amelitaka Jeshi la Polisi kuendelea kuwa waadilifu kwa kufanya kazi zake kwa mujibu wa sheria, kanuni na taratibu za nchi na kwa mujibu wa wakanuni mbalimbali zinazoliongoza Jeshi…
Kunenge:Tushirikiane kusaidia wenye mahitaji ya viungo bandia
Mkuu wa mkoa wa Pwani ,Abubakari Kunenge amewataka wadau na wale wenye uwezo wa kusaidia watu wenye ulemavu wenye mahitaji ya viungo bandia,kuwawezesha ili waweze kuendelea na shughuli zao. Ameyasema hayo Mjini Kibaha wakati wa ufunguzi wa Desire Charitable Hospital…
Msajili vyama vya wafanyakazi aitaka JOWUTA kuongeza kasi ya usajili
MSAJILI wa Vyama vya Wafanyakazi nchini Pendo Berege, amekitaka Chama cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Tanzania (JOWUTA), kuongeza kasi ya usajili wa wanachama kama Sheria na Katiba ya inavyotaka. Msajili Berege ametoa maelekezo hayo leo Agosti 31/2022 baada ya kutembelea…
Serikali kutoa mikopo kwa wavuvi na wakuzaji viumbe maji
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amesema kuwa serikali imeandaa mpango wa kuwawezesha wavuvi na wakuzaji viumbe maji kwa kuwapatia mitaji ili waweze kuboresha shughuli zao Hayo ameyasea leo Agosti 30,2022 wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa utekelezaji…
TCRA:Sensa ya mwaka huu itaonyesha shughuli mbalimbali za kijamii
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawalisiano Tanzania (TCRA),Dkt Jabir Bakari amesema kwamba Sensa ya mwaka huu itaonesha shughuli za biashara ambazo awali zilikuwa hazijulikani na Mamlaka ya Mawasiliano,TCRA. Ametoa kauli hiyo jana alipokuwa akizungumza katika kikao cha…