Category: MCHANGANYIKO
FCS, Vodacom waingia mkataba wa mil.150/- kuelekea wiki ya AZAKI
Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), na Vodacom Tanzania Foundatio wamesaini makubaliano ya mkataba wa mwaka mmoja wenye thamani ya Shilingi milioni 150 ikiwa ni udhamini wa Wiki ya AZAKI 2024, itakayofanyika…
Balozi Nchimbi ataka maofisa utumishi kuacha uonevu
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amewataka watumishi wanaosimamia utawala na rasilimali watu sehemu za kazi kuwatendea haki wafanyakazi wote kwa kujiepusha na vitendo vyovyote vya uonevu. Akizungumza kwenye…
Watanzania watakiwa kuchangamkia fursa katika sekta ya madini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa zilizopo katika uwekezaji katika Sekta ya Madini ili kuupiga jeki uchumi wa taifa kwa kutengeneza ajira na walipa kodi wapya. Hayo yamesemwa leo Mei 20, 2024 na Katibu Mtendaji wa Tume…
Dk Mpango atoa maelekezo 10 ya kuboresha sekta ya nyuki, apongeza Wizara ya Maliasili
Na John Mapepele. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ametoa maelekezo kumi yatasaidia kuimarisha sekta ya nyuki ili iweze kuchangia mapato ya Serikali na kwenye uchumi wa taifa kwa ujumla Mhe. Mpango ametoa…
RC Makonda azindua magari ya zimamoto na uokoaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amelitaka Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Arusha kushirikiana na Mamlaka ya Maji katika kuvitambua, kuviendeleza na kuvitunza visima maalum vya maji vilivyokusudiwa kutumika na jeshi…
Balozi Phaustine ateta na mjumbe wa kamisheni ya Siasa Msumbiji
Leo tarehe 20 Mei 2024, Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekutana na Alcinda António de Abreu, Mjumbe wa Kamisheni ya Siasa ya Chama cha FRELIMO. Kupitia mkutano huo uliofanyika kwenye Ofisi za Makao Makuu ya FRELIMO…