Category: MCHANGANYIKO
TANROADS kuweka kambi barabara ya Kiranjeranje – Ruangwa kurejesha mawasiliano
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Huenda Adha ya usafiri na usafirishaji bidhaa inayowakabili wananchi wanaotumia barabara ya Kiranjeranje kwenda Ruangwa ikafikia tamati baada ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi kutangaza kutia kambi eneo hilo ili kuhakikisha njia…
President Samia raises hope for clean cooking in Africa
By Deodatus Balile, recently in Paris, France TANZANIAN President Samia Suluhu Hassan has raised hope of Africa’s ambition to emancipate the continent from open fire cooking to clean cooking by 2030, JAMHURI has learned. President Samia has a sharp vision…
Kasi ya ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Uhuru (Urambo) yafikia asilimia 92
📌Mkurugenzi Mtendaji TANESCO akagua maendeleo ya ujenzi wa kituo hicho na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wake 📌Ni katika kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Mhe.Dkt Doto Biteko NWM&WN katika kuusimamia mradi kwa karibu 📌Asifu kasi ya Mkandarasi TBEA Katika ujenzi wa…
11 wafariki baada ya mtambo Kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Watu 11 wamefariki Dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada kutokea kwa hitilafu kwenye mtambo wa mvuke wa kuzalisha umeme katika Kiwanda cha kuzalisha Sukari Mtibwa Sugar kilichopo Tuliani Wilayani Mvomero Mkoa wa Morogoro. Kamanda wa…
Tanzania, Msumbiji kuanzisha Jukwaa la Pamoja la Biashara
Mhe. Phaustine Kasike, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Silvino Augusto José Moreno, Waziri wa Viwanda na Biashara wa Jamhuri ya Msumbiji kwenye Ofisi ya Wizara hiyo Jijini Maputo. Katika mkutano huo, Viongozi hao wawili…
RC Chalamila awataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari na kutoa risiti
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wafanyabiashara kulipa kodi kwa hiari bila shuruti pamoja na kutoa risiti za EFD. Vilevile, Chalamila amewaonya wafanyabiashara wanaotishia kugoma pale ambapo wanatakiwa kulipa…