Category: MCHANGANYIKO
Swahiba wa Nyerere apongeza uongozi wa Samia akitimiza miaka 99
Mzee Songambele ametoa pongezi hizo mbele ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi, leo Jumamosi, Mei 25, 2024. Balozi Nchimbi alikwenda nyumbani kwa Mzee Songambele Mwananyamala jijini Dar es Salaam kumfikishia salam za pongezi kutoka…
Wanne wakamatwa wakisafirisha punda 46 nje ya nchi
Na.Abel Paul,Jeshi la Polisi- Longido Arusha Jeshi la Polisi kikiosi cha kupambana na kuzuia wizi wa mifugo kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi Wilaya ya Longido Mkoa wa Arusha wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne pamoja na mifugo aina ya…
Vipaji vya wanafunzi wa awali Tusiime vyawashangaza wazazi
Na Mwandishi Wetu WAZAZI walioshiriki siku ya taaluma na maonyesho ya shule ya awali Tusiime leo wameshangazwa na vipaji vilivyoonyeshwa na wanafunzi hao kwa kumudu kutengeneza vitu mbalimbali na kumudu kuzungumza kingereza fasaha muda wote. Maonyesho hayo yaliyofanyika leo kwenye…
Zanzibar kuanzisha mfuko wa maendeleo ya soka ili kuendeleza michezo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar, SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeeleza dhamira yake ya kuanzisha Mfuko wa Maendeleo ya soka Zanzibar ili kuendeleza sekta ya michezo nchini. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali…
Motsepe akiri goli la Yanga Vs Mamelod ni halali
Na Isri Mohamed, JamhuriMedia, Zanzibar Rais wa shirikisho la soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amekiri kama angekuwa upande wa shabiki angeona goli la Yanga lililokataliwa na mwamuzi katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Mamelod Sundowns Afrika Kusini kuwa lilikuwa…