JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

TANESCO Ruvuma yawatahadharisha wananchi kuwa makini na matapeli

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Mbinga AFISA uhusiano wa huduma kwa wateja TANESCO Ruvuma, Allan Njiro, amewatahadharisha wananchi wa vitongoji vya Matemanga na Mkurusi vilivyopo katika kata ya Kigonsera Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijijini mkoani Ruvuma kuwa makini na watu…

Naibu Waziri Pinda ataka utunzaji hati miliki za ardhi kuepuka udanganyifu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mlele Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amewataka wananchi wanaokabidhiwa hati Milki za ardhi kuhakikisha wanazitunza ili kuepuka udanganyifu unaoweza kufanyika kutoka watu wasio waaminifu. Pinda ametoa kauli hiyo Mei 29,…

Ukarabati wa Mv Magogoni kukamilika Desemba 2024

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa nchini ili kuanza kutoa huduma kwa wananchi. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya Bungeni jijini Dodoma…

Rais Mwinyi awaita wawekezaji wa Ufaransa

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi ametoa wito na kuwakaribisha wafanyabiashara kutoka Ufaransa kuangalia fursa kuwekeza Zanzibar katika maeneo mbalimbali. Dk Mwinyi amesema hayo leo Mei 29,2024 katika Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty Zanzibar alipofungua mkutano wa majadiliano ya…