JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Mabula:Rais Samia ameondoa mfumo dume, wanawake mjiamini

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Dkt. Angeline Mabula amewataka wanawake kujiamini na kutumia fursa mbalimbali zinazowazunguka ili kujiimarisha kiuchumi badala ya kuendelea kulalamika kukwamishwa na mfumo dume. Waziri Dkt. Mabula ameyasema hayo Oktoba 16, 2022 jijini Mwanza wakati akifungua…

Serengeti girls waendelea kujifua kuikabili Ufaransa

Timu ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17 (Serengeti Girls) imeendelea na mazoezi Katika Uwanja wa Utorda Goa India. Serengeti Girls ilianza na mazoezi ya asubuhi katika fukwe zilizopo eneo la Utorda na baadae katika uwanja wa eneo hilo….

NHC kuanza kubomoa nyumba zilizochakaa Dar,

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Shirika la Nyumba (NHC),linatarajia kuanza kubomoa nyumba zilizochakaa katika maeneo ya Kariakoo na Posta jijini Dar es Salaam pamoja na kuendeleza viwanja 40 vilivyopo mkoani humo kikiwemo cha eneo iliyokuwa klabu ya Bilicanas. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi…

“Tuna imani na Bunge la Novemba kujadili
Maboresho Sheria ya Habari 2016′

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia UBORESHAJI wa vifungu kinzani vya sheria ya habari utaiwezesha tasnia hiyo kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na kuchangia kuchochea maendeleo ya sekta hiyo na hata taifa kwa ujumla. Matumaini makubwa yatapatikana endapo muswada wa maboresho ya Sheria…

Leo ni Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike

Tarehe 11 Oktoba ya kila mwaka Tanzania uungana na nchi nyingine wanachama wa Umoja wa Mataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike ambapo lengo la maadhimisho ni kutoa fursa kwa wadau wanaotekeleza afua za watoto hususani watoto wa…