JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Karibu RC, Bukoba ina mambo tisa

BUKOBA Na Phinias Bashaya Sina uhakika na kisa hiki kama ni kweli au ni hadithi za ‘sungura akasema’, ingawa kinatajwa katika mji wa Bukoba na pengine ndivyo ilivyokuwa.  Kwamba, mkazi mmoja wa mji huu alifunga safari akiwa na zawadi kumkaribisha mkuu…

Samia: Alama sahihi uimara wa Muungano

DAR ES SALAAM Historia ya nchi yetu inawataja Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume kuwa waasisi wa Muungano wa nchi mbili zenye mashabihiano ya kihistoria. Nchi hizo ni Tanganyika iliyotawaliwa na Ujerumani (1885-1918) baadaye Uingereza (1919-1961) ilipopata…

Yah: Analalamika wananchi tumwone, tumchague tena akalalamike

Asanteni sana nyote mnaoniunga mkono kwa kupokea barua yangu ya kila wiki kupitia ukurasa huu. Nia na madhumuni ya barua hii ni kukumbushana na kutoa au kuwasilisha maoni yangu kwa jamii kuhusu maisha yetu ya kila siku, sanjari na utamaduni…

Siri imefichuka

*JAMHURI latonywa jinsi mtandao ulivyofanya kazi *Wastani wa vibali feki 500 hutolewa kila mwezi mipakani *Mabilioni ya fedha yachotwa kati ya 2015 – 2020 *Maofisa Uhamiaji waadilifu waadhibiwa, wafukuzwa *Waliomgalagaza raia na kumtesa wasimamishwa kazi DAR ES SALAAM Na Mwandishi…

Rungu la Majaliwa latua Hazina

*‘Wajanja’ walamba Sh milioni 400 kwa siku ‘kwa kazi maalumu’ DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasimamisha kazi maofisa wa ngazi za juu wa Wizara ya Fedha na Mipango wakikabiliwa na tuhuma za ubadhirifu wa fedha…

Wanaomzushia majanga JK mizimu itawaumbua 

BAGAMOYO Na Umar Mukhtar Wapo baadhi ya watu wasiotaka kukiri kuwa miongoni mwa wanasiasa waliowahi kutokea Afrika ambao ni wajuzi wa mapiku ya kisiasa na masuala ya utawala kuwahi kutokea; watu wenye maarifa mapana na mizungu ya kisiasa wanaozijua vema…