JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Uhalali wa wabunge 19 wa Chadema

DODOMA Na Mwandishi Wetu Kwa muda mrefu kumekuwa na mjadala juu ya uhalali wa kuwapo wabunge 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama sehemu ya Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni takriban miezi mitano…

Nani ‘anaua’ vipaji Yanga?

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu  Ni matamanio ya kila shabiki wa soka kuiona klabu anayoishabikia ikipiga hatua na kufikia mafanikio, ikiwa ni pamoja na kuchukua mataji. Naam! Ni kama vile kuwafikisha wana wa Israel katika nchi ya ahadi na…

Nyota Liverpool awa Balozi Tanzania

ARUSHA Na Mwandishi Wetu Beki wa kimataifa wa Ufaransa na nyota wa zamani wa miamba wa soko wa Ligi Kuu ya England (EPL), Liverpool, MamadouSakho, ameombwa na kukubali kuwa Balozi wa Hiari wa Utalii wa Tanzania.Beki huyo wa kati mwenye…

UCHAGUZI KIDATO CHA V… Profesa Ndalichako unatesa maskini

DAR ES SALAAM Na Mwandishi Wetu Wiki iliyopita serikali imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowashtua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa.  Wazazi wengi wanalia; hasa wale maskini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka…

Viwavi wenye sumu kali waibuka Virginia

Wana manyoya mithili ya manyoya ya paka na kwa ukaribu wanaonekana ni wazuri sana kuwachezea. Lakini amini usiamini, viwavi hao aina ya puss ni viumbe wasiopaswa kukaribiwa na binadamu hasa nchini Marekani. Hii ni kwa sababu aina hiyo ya viwavi…

TRA huu ndio ukusanyaji kodi

Juni 5, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Geryson Msigwa, ametoa taarifa ya mwenendo wa kazi za serikali, utekelezaji wa ahadi zake na eneo muhimu la ukusanyaji mapato. Msigwa ameonyesha kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuongeza makusanyo hata baada…