JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Walengwa wa TASAF wahimizwa kuchangia asilimia 10 kuwezesha ukamilishaji miundombinu

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deogratius Ndejembi amewataka walengwa wa TASAF Wilayani Makete kuchangia nguvu kazi yao ya asilimia 10 ili kuwezesha ukamilishaji wa miradi ya TASAF ya ujenzi wa miundombinu kwa…

Serikali yadhamiria kupunguza tataizo la umeme Pwani

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani alhaj Abubakari Kunenge, amepokea transforma kubwa sita katika mradi wa kituo cha kupoza na kupokea umeme cha Chalinze ,zenye uwezo wa megavoti 250 kwa gharama ya Bilioni 7.5 kila moja. Kuwasili kwa…

Serikali kufanya maboresho uwanja wa Mkapa

Serikali imeahidi kufanya marekebisho makubwa yanayohitajika katika uwanja wa Benjamin Mkapa ili kukidhi viwango vya kimataifa vinavyohitajika katika michuano ya Africa Super League ambayo Klabu ya Simba ndio mwakalishi wa ukanda wa Afrika Mashariki. Hayo yamesemwa Februari 16, 2023 jijini…

PROF.Mkenda atoa wito kwa Watanzania kuandika vitabu

Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof.Adolf Mkenda ametoa wito kwa watanzania kupenda kuandika kwa kuwa kinachoandikwa kinatoa funzo kwa vijana na jamii kwa ujumla. Ametoa wito huo Jijini Dar es Salaam wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa Kitabu On my father’s…

Mkojo wa sungura wageuka almasi

Na Mwandishi Wetu Mkojo wa mnyama mdogo anayefahamika kwa jina la sungura umegeuka almasi kwa wakulima wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini. Hii ni kutokana na uwezo wa mkojo huo kuzuia na kudhibiti wadudu waharibifu katika mazao ya chakula…