JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Category: MCHANGANYIKO

Majiko ya gesi 19,530 kusambazwa kwa bei ya ruzuku Kilimanjaro

📌Kila wilaya kupata majiko 3,255 📌Kilimanjaro wamshukuru Rais Samia Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kilimanjaro Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatarajia kusambaza jumla ya majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita 19,530 yanayotolewa kwa bei ya ruzuku ya 50% Mkoani Kilimanjaro…

HOMSO yakabidhi mashine za kusaidia kupumua watoto wachanga zenye thamani ya milioni 10.5

Na Cresensia Kapinga, JamhuriMedia, Songea Taasisi ya Wiloses Foundation imekabidhi mashine mbili zenye thamani ya sh. Milioni 10.5 katika hospitali ya Rufaa ya Mkoa Songea (HOMSO) ambazo zitasaidia watoto wachanga na wanaozaliwa kabla ya wakati (Njiti) kusaidia kupumua na kurekebisha…

Serikali kuzindua rasimu ya kwanza ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 Desemba 11, 2024

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali inatarajia kuzindua rasimu ya kwanza ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, Desemba 11, 2024 katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar. Hayo yalisemwa Ijumaa, Desemba 6, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi…

Rostam Aziz: Sijatoka mbinguni, tunalo jukumu la kuwasaidia Watanzania kujifunza ujuzi wa biashara

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mfanyabiashara mashuhuri wa Kitanzania, Rostam Aziz, ameibua mjadala muhimu kuhusu uwezeshaji wa wafanyabiashara wadogo kwa kutoa wito wa kuanzishwa kwa semina mikoani ili kuwafundisha Watanzania jinsi ya kuendesha biashara kwa mafanikio, kupata mikopo,…

Korea Kusini: Maafisa wakuu wa kijeshi wapigwa marufuku kuondoka nchini

Wizara ya ulinzi ya Korea Kusini imewasimamisha kazi kamanda wa Kikosi Maalum Kwak Jong-keun, kamanda wa Ulinzi wa Ikulu Lee Jin-woo na kamanda mkuu wa ujasusi Yeo In-hyeong kwa kuhusika katika kutekeleza agizo la sheria ya kijeshi Jumanne usiku. Waendesha…

Wakandarasi wazembe, wanaochelewesha miradi wabanwe -RC Kunenge

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge, ameitaka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Pwani kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wakandarasi wanaokiuka mikataba ya ujenzi kwa kuchelewesha miradi. Kunenge alitoa agizo hilo ,wakati…