Category: MCHANGANYIKO
Bendera ya Taifa yapeperushwa vema nchini Rwanda
Na Mwandishi Maaalum Kikundi cha Maafisa na Askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Vyombo vya Usalama na Taasisi mbalimbali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kilichoshiriki Zoezi la 13 la Medani la Nchi wanachama wa…
‘Serikali kuwalinda wafanyabiashara waliofungua maduka Kariakoo’
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Arbert Chalamila amesema Serikali itawalinda wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo waliofungua maduka yao siku ya leo licha kuwepo kwa mgomo. Chalamila ameyasema hayo wakati akizungumza na…
Wafanyabiashara Kariakoo wagoma kufungua maduka
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Leo Juni 24, 2024 wafanyabiashara wa soko la Kariakoo wamegoma kufungua maduka wakishinikiza Serikali kutekeleza makubaliano yao waliyokubaliana mwaka jana 2023 katika kikao chao na waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Biashara pekee zinazoendelea kufanywa…
GST yatumia ndege nyuki kufanya utafiti wa madini Mirerani
Na Mary Margwe, JamhuriMedia, Simanjiro Wachimbaji wadogo na wa kati wa Madini ya Tanzanite katika Mji Mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara wanatarajia kunufaika baada ya Taasisi ya jiolojia na utafiti wa madini Tanzania (GST) iiyotumia ndege nyuki kufanya…
Baba aliyepoteza watoto watatu kwa kuungua moto naye afariki
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Idadi ya waliofariki katika ajali ya moto iliyoua watoto watatu wa familia moja jijini Arusha imeongezeka baada ya baba wa watoto hao askari CRI wa TANAPA, Zuberi Hassan Msemo kufariki. Kaimu Kamanda wa Jeshi la…
Waziri Mkuu : Taasisi za umma zitumie mifumo ya kidijitali
Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezitaka taasisi za umma ziweke mipango madhubuti ya kutumia mifumo ya kidijitali ambayo italeta mageuzi ya kiutendaji na kuifanya Tanzania kuendana na mapinduzi ya nne ya viwanda yanayotumia TEHAMA. Amesema kuwa mifumo hiyo…