Category: MCHANGANYIKO
Jeshi la Polisi lawafariji wagonjwa Chato
Na Daniel Limbe, JamhuriMedia, Chato KATIKA kile kinachoonekana ni kuitafsiri kwa vitendo falsafa ya Polisi Jamii na Ulinzi shirikishi,Jeshi la polisi wilayani Chato mkoani Geita limefanya usafi na kutoa zawadi mbalimbali kwa baadhi wagonjwa waliolazwa kwenye hospitali ya wilaya hiyo….
Ruvuma ina wajane zaidi ya 49, 000
Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea TAKWIMU za Sensa ya Watu na Makazi za mwaka 2022 zinaonesha kuwa Mkoa wa Ruvuma una jumla ya wajane wapatao 49,702. Hayo yasemwa na Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Rehema Madenge wakati anafungua…
Taasisi za umma zasisitizwa umuhimu wa mfumo wa NeST- Twamala
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Kaimu Katibu Tawala ,Mkoa wa Pwani ,Shangwe Twamala amesisitiza ulazima wa Taasisi za Umma kutumia mfumo wa kielektroniki wa ununuzi wa Umma “NeST” ambao unasimamiwa na mamlaka ya udhibiti wa ununuzi wa Umma(PPRA). Hayo aliyasema…
Matumizi ya kidigital shuleni kusaidia weledi kwa wanafunzi
Na Magrethy Katengu,JamuhuriMedia, Dar es Salaam Sekta ya elimu inatakiwa kuja na mikakati mizuri ya Tehama ili kusaidia weledi wa ufundishaji kwa kuangalia mabadiliko ya teknolojia yanayoenda kasi ili kurahisisha shughuli zake na kuwa na weledi. Hayo yamebainishwa leo Juni…
Afisa mifugo mbaroni kwa kupuuza wajibu wa kazi
Mahakama ya Wilaya Karagwe imemtia hatiani Afisa Mifugo wa Kijiji cha Nyaishozi – Mwenge Datius Mathias. Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la kupuuza wajibu wa kikazi kinyume na kifungu cha 123 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu na kupewa adhabu…
Msukuma aomba mwongozo wa wafanyabiashara Kariakoo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Mbunge wa Geita, Joseph Musukuma amesimama bungeni leo asubuhi akiomba mwongozo wa Spika kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo mkoani Dar es Salaam ulioanza leo, akisema kuwa watoka maeneo mbalimbali ya nchi kwa ajili ya…